Matini Muhimu :
Home » » Unajuwa?

Unajuwa?

Imeandikwa na; Unknown mnamo, Jumatano, 25 Desemba 2013 | Jumatano, Desemba 25, 2013


FITINA ni nguo mbovu ukiivaa hujastirika!
HUSDA ni mti mkavu ukiukwea utang'oka!
DHARAU ni kiti kibovu ukikalia kitavunjika!
UONGO ni ulemavu si rahisi kuondoka!
UFISADI ni nyumba mbovu tena aishiyo nyoka!
USHIRIKINA ni uovu kwa Mola hutosameheka!
UVIVU ni uonevu katu hutofurahika!
KISWAHILI si hesabu naamini ujumbe umefika!



Sambaza hii :

0 maoni:

Tafuta Kwenye Wikipedia

Matokeo ya utafutaji

 
Kwa Hisani ya : Muunda Blogu | Nawaje Ali | NAM
Fahari kwa Kiswahili Jukwaani
Hakimiliki © 2013 - 2018. Kiswahili Jukwaani - Haki Zote Zimehifadhiwa