Naomba kujua mchango wa Abeid kaluta katika ushairi wa kiswahili ukizingatia hoja za kwamba, alitafsiri mashairi mbalimbali ya kiarabu kwenda lugha ya kiswahili(mfano wa mashairi hayo) pia aliweza kuimba tajiwid, tenzi na mashairi kwa mahazi ya namba mbalimbali ya maghani(mifano)
9 maoni:

Sayari ya utaridi kulingana na marekebisho ya mwaka 2006 haipo kwenye sayari za mfumo wa jua Bali Ni sayari kibete
Sasa Pluto ipo wapi?
Hamna pluto kwenye sayari. Iliondolewa mwaka wa 2006
Pluto si sayari tena
Nina njaa naomba hela ya kula jamon
Mbona sumbula siioni naiona sarteni
Sumbula/mshtarii
Majina ya sayari yalikanganywa na waandishi wa vitabu ambao hawakufuatia historia na utamaduni wa Astronomia.
Majina ya sayari humu kwa Kiswahili karibu YOTE yamekosewa.
Majina sahihi ya sayari ni:
Mercury - Utarid
Venus - Zuhura
Earth - Ardhi au Dunia
Mars - Mrihi (siyo mihiri)
Jupiter - Mshtarii au Sambulaa
Saturn - Zohali
Uranus - Uranus
Neptune - Neptun
Majina sahihi ya sayari kibete:
Pluto - Pluto
Ceres - Seresi
Haumea - Haumea
Makemake - Makemake
Eris - Erisi
Majina haya yamekubaliwa na Baraza la Taifa la Kiswahili
https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Sayari
Chapisha Maoni