Mfunguo mosi (mwezi wa kwanza baada ya Ramadhani)
Mfunguo pili (mwezi wa pili baada ya Ramadhani)
Mfunguo tatu (mwezi wa tatu baada ya Ramadhani)
Mfunguo nne (mwezi wa nne baada ya Ramadhani)
Mfunguo tano (mwezi wa tano baada ya Ramadhani)
Mfunguo sita (mwezi wa sita baada ya Ramadhani)
Mfunguo saba (mwezi wa saba baada ya Ramadhani)
Mfunguo nane (mwezi wa nane baada ya Ramadhani)
Mfunguo tisa (mwezi wa tisa baada ya Ramadhani)
Rajab/Mfunguo kumi (mwezi wa kumi baada ya Ramadhani)
Shaabani (mwezi wa kumi na moja baada ya Ramadhani)
Ramadhani (mwezi wa kumi na mbili ambao ndio wa mwisho)
Tanbihi:
Waswahili miezi yao huanzia baada ya mfungo wa ramadhani na wanafuata miezi ya muandamo wa mwezi na sio jua.
0 maoni:
Chapisha Maoni