Naomba kujua mchango wa Abeid kaluta katika ushairi wa kiswahili ukizingatia hoja za kwamba, alitafsiri mashairi mbalimbali ya kiarabu kwenda lugha ya kiswahili(mfano wa mashairi hayo) pia aliweza kuimba tajiwid, tenzi na mashairi kwa mahazi ya namba mbalimbali ya maghani(mifano)
7 maoni:

Sayari ya utaridi kulingana na marekebisho ya mwaka 2006 haipo kwenye sayari za mfumo wa jua Bali Ni sayari kibete
Sasa Pluto ipo wapi?
Hamna pluto kwenye sayari. Iliondolewa mwaka wa 2006
Pluto si sayari tena
Nina njaa naomba hela ya kula jamon
Mbona sumbula siioni naiona sarteni
Chapisha Maoni