Matini Muhimu :
Home » » Majina ya Sayari kwa Kiswahili

Majina ya Sayari kwa Kiswahili

Imeandikwa na; Unknown mnamo, Jumamosi, 28 Desemba 2013 | Jumamosi, Desemba 28, 2013

1. Zebaki
2. Zuhura
3. Dunia
4. Mirihi
5. Mshtarii
6. Zohali
7. Sarteni
8. Kausi
9. Utaridi

Chanzo (Kamusi ya Karne ya 21, 2011:614)
Sambaza hii :

7 maoni:

Unknown alisema ...

Naomba kujua mchango wa Abeid kaluta katika ushairi wa kiswahili ukizingatia hoja za kwamba, alitafsiri mashairi mbalimbali ya kiarabu kwenda lugha ya kiswahili(mfano wa mashairi hayo) pia aliweza kuimba tajiwid, tenzi na mashairi kwa mahazi ya namba mbalimbali ya maghani(mifano)

Unknown alisema ...

Sayari ya utaridi kulingana na marekebisho ya mwaka 2006 haipo kwenye sayari za mfumo wa jua Bali Ni sayari kibete

Unknown alisema ...

Sasa Pluto ipo wapi?

Bila jina alisema ...

Hamna pluto kwenye sayari. Iliondolewa mwaka wa 2006

Bila jina alisema ...

Pluto si sayari tena

Bila jina alisema ...

Nina njaa naomba hela ya kula jamon

Bila jina alisema ...

Mbona sumbula siioni naiona sarteni

Tafuta Kwenye Wikipedia

Matokeo ya utafutaji

 
Kwa Hisani ya : Muunda Blogu | Nawaje Ali | NAM
Fahari kwa Kiswahili Jukwaani
Hakimiliki © 2013 - 2018. Kiswahili Jukwaani - Haki Zote Zimehifadhiwa