CHUO KIKUU CHA
WAISLAMU CHA MOROGORO
CHAMA CHA WANAFUNZI
WA KISWAHILI WA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIKI
Leo tarehe 01/01/2014 Chuo Kikuu Cha Waislamu Cha Morogoro kimefanya KONGAMANO LA SIKU YA KISWAHILI kwa hisani ya tawi la CHAWAKAMA MUM ambayo ndiyo makao makuu ya chama hicho chwa wanafunzi wa Kiswahili Afrika Mashariki.
Kongamano hilo lilijumuuisha shamrashamra na matukio mbali mbali yanayoashiria kuikuza na kuiendeleza lugha ya Kiswahili ndani na njee ya chuo hicho.
Kongamano hilo lilihudhuriwa na mgeni rasmi myenye nyadhifa ya AFISA ELIMU msingi MOROGORO. Ambaye alipongeza hatua kubwa iliyopigwa na wadau hao wa Kiswahili katika Chuo Kikuu Cha Waislamu Cha Morogoro.
RATIBA YA TAMASHA
LA SIKU YA CHAWAKAMA TAWI LA MUM 01/01/2013
MUDA
|
TUKIO
|
MUHSIKA / WAHUSIKA
|
|
1.
|
3:00-3:30
|
KUINGIA UKUMBINI
|
WANACHAMA/WANAFUNZI WOTE
|
2.
|
3:30-4:00
|
WAGENI WAALIKWA KUWASILI
UKUMBINI
|
WAGENI WAALIKWA
|
3.
|
4:00-4:05
|
DUA YA UFUNGUZI WA SHUGHULI
|
MAKAMU MKUU WA CHUO
|
4.
|
4:05-4:10
|
UTAMBULISHO WA WAGENI NA
VIONGOZI MBALIMBALI
|
MWENYEKITI
|
5.
|
4:10-4:25
|
UTENZI
|
NASRA MPATANI
|
6.
|
4:25-4:30
|
UZINDUZI WA FULANA
|
MGENI RASMI
|
7.
|
4:30-4:40
|
HISTORIA YA CHAWAKAMA
|
Bw. AHMEDI SOVU
|
8.
|
4:40-4:55
|
KUELEZA UMUHIMU WA
CHAWAKAMA
|
NDG. FRANCIS SELASELA
|
9.
|
4:55-5:25
|
IGIZO
|
WANACHAMA (CHAWAKAMA)
|
10.
|
5:25-:6:15
|
UCHAMBUZI WA DIWANI YA
KIVULI KIAMBONI
|
Bw. MFAUME, R
|
11.
|
6:15-6:40
|
MABADILIKO KATIKA KASIDA
|
Bw. NAM
|
12.
|
6:40-6:45
|
SHAIRI
|
KIVULI CHA MVUMO
|
13.
|
6:45-7:30
|
SALA NA CHAKULA
|
WOTE
|
14.
|
7:30-7:45
|
NGONJERA
|
WASHIRIKI
|
15.
|
7:45-8:00
|
HISTORIA YA SHABANI ROBERT
|
Bi. KHADIJA
|
16.
|
8:00-8:15
|
RISALA
|
KATIBU
|
17.
|
8:15-8:30
|
SHAIRI
|
MW. MOH’D OMAR
|
18.
|
8:30-8:45
|
MAKAMU MKUU TAALUMA, KUTOA
NASAHA NA KUMKARIBISHA MGENI RASMI
|
Bw. KONDO
|
19.
|
8:50-9:00
|
HOTUBA
|
MGENI RASMI
|
20.
|
9:00-9:45
|
||
21.
|
9:45-9:50
|
DUA YA KUFUNGA
|
MKUU WA IDARA YA KISWAHILI
|
22.
|
9:50-10:20
|
SALA YA ASRI
|
WOTE
|
23.
|
10:20-12:15
|
MICHEZO YA VIWANJANI
|
WASHRIKI WOTE
|
0 maoni:
Chapisha Maoni